Monday, 25 June 2012

'ORSOS Islands' kisiwa kilichotengenezwa kuwa kama boti ya kitalii

ukiwa na pesa nothing is imposible when it comes to ubunifu wa majengo
muonekano wa kisiwa hicho kwa juu








kwa ndani





Kisiwa hicho chenye ukubwa wa mpaka square meter 1000, kina vyumba vikubwa sita, sehemu ya kuchomea nyama (BBQ), sehemu ya kuotea jua na sehemu ya Bar ambayo ina uwezo wa kuchukua mpaka watu 15

0 comments:

Post a Comment

 

Copyright © 2013. Catwalk Fashion Show - All Rights Reserved
Template Created by Catwalk Fashion Show Published by Fashion Show
Proudly powered by Blogger