Thursday, 9 February 2012

wenye picha nzuri fursa ndio hii (maphotogenic)

una picha yeyote nzuri either ya nguo ya kitenge au kitambaa but yenye mshono mzuri ambao mtu akiuona ataupenda au picha za tukio lolote linalohusiana na ndoa, send-off, kitchen party au bridal shower na beg party iliyopigwa vizuri (well snapped photo) usisite kutusendia kupitia email eshellida@gmail.com nasi tutaipost bloguni

0 comments:

Post a Comment

 

Copyright © 2013. Catwalk Fashion Show - All Rights Reserved
Template Created by Catwalk Fashion Show Published by Fashion Show
Proudly powered by Blogger